KESI YA LULU YAZIDI KUWA NA UTATA


 Utata umeendelea kuigubika kesi ya mwigizaji Elizabeth Michael "Lulu" ambapo ukweli halisi juu ya umri wake umeibua utata mwingi  ambapo inasemwa kuwa kwa sasa mwigizaji huyo amedai kuwa umri wake kamili ni miaka 17 huku siku chache kabla ya kifo cha Steven Kanumba alisikika kupitia kipindi cha Mkasi EATV kinachoendeshwa na Salama Jabir akisema umri wake ni miaka 18, kingine kinachoendelea kuleta utata kuhusiana na umri wa Lulu ni cheti chake cha kuzaliwa ambacho kinaonyesha majina ya Diana Elizabeth badala ya Lulu Michael,kesi yake imesogezwa mpaka tarehe 21 May.

Comments