IN THE MAKING OF ASALI CHUNGU


Hapa ni katika mpago mzima wa kushoot movie ya "ASALI CHUNGU", hii ni crew nzima inayohusika na production,kutoka kushoto its my man Chrispin Nyomoye ambaye ndiye main Director, Onnory Mchizz ambaye naplay  as an Assistant Director,Charlz Shitindi ( Camera Person) na Shishira Mnzava ambaye ni Boom Swinger, Tukiwa kama wanafunzi wa mwaka wa pili degree ya Journalism Chuo kikuu kishiriki cha Tumaini Iringa tumeamua kutengeneza Movie ya kiswahili ikiwa ni katika mpango mzima wa kujifunza kwa vitendo.  

Comments