Mwenyeji wetu aliyetupokea pale Channel ten alikuwa ni huyu bwana mkubwa ni mcheshi sana pia yuko social, alituonyesha jinsi wanavyofanya kazi yaani kuanzia Transmission room mpaka studios, Channel ten ni washirika wa DTV, CTN, CHANNEL 2 CTN maarufu kam C2C na MAGIC FM ambazo zote ziko chini ya AFRICA MEDIA GROUP.
Comments
Post a Comment