HAPA NI KATIKA KIPINDI CHA BUSATI,MAGIC FM

                   Pia tulikita mpaka kitaa cha Magic fm kama unavyotuona tukiwa na mtangazaji
       wa kipindi cha "BUSATI", asikwambie mtu tulienjoy ile kwa sana coz huyu Bi.Mkubwa haishiwi maneno  si unajua tena watu wa taarabu maneno mengi.
              

Comments