ROMA ANYAKUA TUZO MBILI ZA HIP HOP

                  
                Roma (katikati) akipokea tuzo ya msanii bora wa hip hop kutoka Kili Music Awards 2012,kushoto ni mtu mzima Fella na kulia ni Profesa Jay ambao ndio waliopewa heshima ya kutoa tuzo hiyo.  Mkali Roma alijinyakulia tuzo mbili katika usiku huo ikiwemo ya wimbo bora wa hip hop.

Comments