JCB UTOTONI ALIKUWA HIVI;

Msanii wa Hip -Hop kutoka crew ya watengwa aliyebamba na ngoma ya Ukisikia paa!! aliyoshirikiana na Chid-Benz,Fid Q, na  Jay-mo, Jacob Mabelele a.k.a JCB ( kushoto, aliyenyoosha mkono) akiwa na rafiki yake enzi za utoto wao. 

Comments