Moja kati ya dadaz ambao wapo really sana katika vitu wanavyofanya ni mwanadada Furaha ambaye first time namsikia akiimba masikio yangu yalionja ladha tofauti ya music, she is new in the building lakini ana vocal ya tofauti sana pia she's a very good songwriter ukitaka kuamini sikiliza ngoma iitwayo "JUU YAKO" aliyofanya na PNC utagundua utofauti wake.
SONG: JUU YAKO
ARTIST: FURAHA
PRODUCER: ISIAKA MC
STUDIO: TIMAMU RECORDS
Comments
Post a Comment