ukitaja the Illest Djs wanaoweza kucheza na Cds katika Turntables na wakati huohuo kurusha vipindi tofauti vya radio lazima utajikuta unamtaja
Dj Nas a.k.a ze Untouchable, jamaa amelikita pande za iringa ambapo ndio homeland
huku akiendeleza career yake ya u dj na pia this moment anapiga mzigo pande za radio country fm Iringa Town kama radio prezenta.
Comments
Post a Comment