A-Town rapper John Simon Makini mwenye stage name ya mwamba wa kaskazini
ameibuka na kuwashutumu wasanii wanaofanya bongo Hip-Hop kuwa wanapenda kuigana katika mitindo ya kurap kitu kinachorudisha nyuma muziki na kupelekea kupoteza mashabiki wake tofauti na miaka ya nyuma ambapo Hip-Hop ilikuwa na Fanbase kubwa ukilinganisha na sasa,anytime soon jamaa anategemea kudrop mzigo mpya utakaoenda kwa jina la Manuva ambao umekuwa produced na mtu mzima Ambrose Dunga.
Comments
Post a Comment