BLACK CHATA KUIACHA MABACHELA CAMP MWEZI JUNE

                                                Black Rhyno akiwa na mkewe mtarajiwa

         Mtu mzima ambaye alibamba sana kunako game ya muziki bongo na ngoma zake kali kama vile mistari na Black Chata, Nickolaus Haule ambaye anajinadi kwa stage name ya Black Rhyno au unaweza kumuita  Black Chata anatarajia kuitosa camp ya mabachela na kujiunga rasmi na kambi ya "married persons" ifikapo tarehe 30 june mwaka huu kwa kufunga ndoa na mwanadada Khadija Beatrice Mbaga.

Comments