American Pop-star Beyonce Knowles akimfurahia mtoto wake mpya Blue Ivy Carter siku chache baada ya kujifungua, Beyonce na Jay-z wameamua kumpa mtoto wao jina la Blue Ivy ambapo Ivy inasimama kama namba nne ya kirumi ambayo ni namba ya bahati ya wapenzi hao na Blue ni favorite color ya Jay-z
Comments
Post a Comment