SHABIKI WA "MAN U "FAHAMU KUWA LEO NI BIRTHDAY YA ERIC BAILLY

Kama wewe ni shabiki wa damu wa timu ya Manchester United ya nchini Uingereza popote ulipo basi fahamu kuwa leo ni siku ya kuzaliwa ya beki wa kati wa timu hiyo Eric Bailly, ambaye leo anatimiza takribani miaka ishirini na nne tangu kuzaliwa kwake, Eric Bailly alizaliwa tarehe 12 April mwaka tisini na nne katika mji wa Bingerville nchini Ivory Coast, Bailly ana tuzo ya mchezaji bora wa Africa kupitia tuzo ya CAF Aficas finest.

Comments