Juan Mata wa Manchester Utd atimiza miaka 29 tangu kuzaliwa kwake.


Ni furaha iliyoje kwa kila mwanadamu kutimiza umri wa miaka kadhaa ya kuishi duniani kwani anakuwa amepitia changamoto za aina nyingi.

Leo tarehe 28 April mchezaji kiungo mshambuliaji mwenye asili ya hispania anyeitumikia klabu ya soka ya Manchester utd inayoshiriki ligi kuu ya nchini uingereza na akiitumikia timu ya taifa ya Hispania Juan Mata anatimiza miaka ishirini na tisa (29) ya kuzaliwa na kuishi hapa duniani.
 Juan Manuel Mata Garcia alizaliwa tarehe 28 Aprili mwaka 1988 katika eneo la Villafranca Montes de oca huko nchini Hispania.

Comments