CHRISS BROWN ATAJA GHARAMA ANAYOLIPWA NA WASANII WANAOMSHIRIKISHA.

Chriss brown ametaja kiwango cha fedha anayowachaji wasanii wanaomfuata ili kupiga nao kolabo,akipigwa interview kupitia kituo cha radio cha Hot 97 katika kipindi cha Ebro in the morning Chriss amesanua kuwa kwa kawaida huwatoza wasanii kiwango cha fedha kinachozidi milioni 440 ili kupiga nao kollabo ila kama itatokea wimbo unaofanywa ni Hit basi anachofanya ni kugawana percent ya wimbo huo kwa kupasuliana aslimia hamsini kwa hamsini.

Comments