ANGIE MARTINEZ ASAINI DEAL NA ROCK NATION.

Mtangazaji wa kipindi cha Breakfast Club kupitia radio ya Power 105.1 ya New York Marekani, Angie Martinez amekuwa mtangazaji wa kwanza kusaini Deal heavy na label ya Rock Nation inayoendeshwa na Jay Z label ambayo pia inawasimamia wakali kadhaa wanaofanya poa kunako game ya muziki akiwemo rapper Big Sean,Rihana na wengine kibao tu.Kupitia akaunti yao ya twitter uongozi wa Rock Nation umetuma ujumbe kumkaribisha Angie katika chama hilo,tweet yao inasomeka: Rock Nation welcomes multimedia personality@Angie martinez to the Rock Nation family.

Comments