KAMA WEWE NI SHABIKI WA TID NA DULLY SYKES TEGEMEA KUWASKIA KATIKA WIMBO MMOJA.

Ni muda mrefu umepita tangu Dully Sykes na TID kutokuwa pamoja katika kazi za muziki kwa kila mmoja kuonyesha yupo tofauti na mwenzake, good news ni kuwa wakali hawa wa bongofleva wameamua kuzika tofauti zao kwa kuamua kufanya big time collaboration kwa kurekodi ngoma waliyoipachika title ya "MONEY GIRL" Prodyuza akiwa mzee mwenyewe Dully Sykes,story ni kuwa kwa sasa wamerekodi demo tu ya wimbo huo ila anytime very soon mzigo kamili utadrop.

Comments