STL KUFUNGUA SHOW NA TREY SONGZ PANDE ZA NORWAY

rapper kutoka Kenya Stella Mwangi maarufu kama STL amechaguliwa na Live Nation – Norway kufungua show ya Trey Songs kutoka marekani anaye fanya show kesho mjini Olso Norway.
STL Ni msaani pekee kutoka Africa  atakaye fanya show usiku huo, Kwa STL hii imekuwa heshima kubwa na nafasi yakipeke sana kama alivyo  Twitt-in kwenye page yake ya twitter.

Comments