HII ILIKUWA NI KATIKA MEDIA TOUR CHANNEL TEN,MAGIC FM , EAST AFRICA RADIO AND TV NA MLIMANI TV.

                  Mwenyeji wetu aliyetupokea pale Channel ten alikuwa ni huyu bwana mkubwa  ni mcheshi sana pia yuko social, alituonyesha jinsi wanavyofanya kazi yaani kuanzia Transmission room mpaka studios, Channel ten ni washirika wa DTV, CTN, CHANNEL 2 CTN maarufu kam C2C na MAGIC FM ambazo zote ziko chini ya AFRICA MEDIA GROUP.

Comments