MY PROFILE

                                                             ONNORY MCHIZZ

           12 May1987  ndio mwaka na tarehe niliyozaliwa huku birthplace ikiwa ni Kigamboni jijini Dar es Salaam nikiwa last born wa mama Monica Haule pamoja na mzee Hermenegild Haule, mwaka 1989 familia yetu ilihamia Moshi mkoani Kilimanjaro makazi yakiwa flats za chuo cha ushirika ambapo tuliishi mpaka mwaka 1991 tulipohamia Kijitonyama kisiwani ambapo tuliishi mpaka mwaka 1999 ambapo tulihamia makumbusho mwaka 2000 tulihamia Kigamboni ambapo naishi na familia yangu mpaka sasa.

Nilianza elimu ya msingi mwaka 1996 katika shule ya msingi Kijitonyama baada ya kupata elimu ya awali shule ya Pasula Nursery maeneo ya Kijitonyama Kisiwani, mwaka 2000 nilihamia shule ya msingi Kigamboni ambapo nilimaliza elimu ya msingi mwaka 2002, mwaka 2003 nilianza kidato cha kwanza pale Azania Secondary School hadi mwaka 2006 nilipomaliza kidato cha nne, mwaka 2007 niliingia kidato cha tano Kinondoni Muslim High School na mwaka 2010 nikajiunga chuo kikuu cha Tumaini mkoani Iringa ambapo nipo hadi sasa nikisomea digrii ya kwanza ya uandishi habari, kitu kikubwa ni kuwa since nipo mtoto nilikuwa very interesting na medias kuanzia redio, Tv, pamoja na websites huku nikiwa na ndoto za kuwa mwanahabari especially katika uandishi wa habari za burudani, nia na lengo la kuanzisha na kuendesha blog hii ni kuprovide infotainment kwa wadau wa burudani nchini na nje ya mipaka.......

Comments