Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania John P. Magufuli akisalimiana na mama Maria Nyerere katika maadhimisho ya miaka 53 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Rais John P. Magufuli akikagua gwaride la heshima katika kuadhimisha miaka 53 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Rais Magufuli akisalimiana na rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi |
Mh. Ndungulile akisikiliza maelezo kutoka kwa viongozi mbalimbali wanaohusika na masuala ya kielimu |
Mh. Ndungulile akiwasikiliza wanafunzi wakionyesha majaribio ya kisayansi katika kongamano hilo lililoshirikisha wadau wengi wa elimu jimbo la kigamboni. |
Mh. Ndungulile akitoka katiak viwanja vya ofisi za Halmashauri ya wilaya ya Kigamboni mara baada ya kumalizika kwa kongamano la elimu.
Comments
Post a Comment